CHUO CHA UALIMU SINGIDA
CHENYE USAJILI NAMBA CU 73
CHUO KINA USAJILI WA NACTE Na REG/TLF/010P
KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO
KWA MUHULA WA KWANZA JULAI 2014 KAMA IFUATAVYO.
1. CHETI CHA MSINGI CHA ELIMU YA UALIMU WA MSINGI NGAZI YA NNE(NTA 4) MUDA MWAKA MOJA KWA MWENYE UFAULU WA DARAJA LA NNE (IV) MWENYE PASS NNE (D NNE). Fomu zina patikana Chuo cha Ualimu Singida.
2. UALIMU DARAJA LA TATU ‘A’ MIAKA MIWILI KWA WALIOMALIZA MASOMO YAO KUANZIA MWAKA 2004 – 2012 AMBAO WANA ALAMA 27 NA WALIOMALIZA MASOMO YAO MWAKA 2013 WENYE ALAMA MWISHO 34. Fomu zina patikana Chuo cha Ualimu Singida.
3. STASHAHADA YA UALIMU SHULE ZA MSINGI MAFUNZO KAZINI MUDA WA MIAKA MIWILI, AWE NA CHETI CHA DARAJA LA TATU ‘A’ NA AWE NA UZOEFU KAZINI ANGALAU MIAKA MIWILI (2) AU AWE NA CHETI CHOCHOTE CHA CHUO KINACHOTAMBULIKA NA NACTE. JISAJILI KUPITIA TOVUTI YA BARAZA LA ELIMU YA UFUNDI TANZANIA (NACTE) www.nacte.go.tz
Ø KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NA:
0784-42 76 58, 0657-12 12 31, 07
I
NATANGAZA NAFASI YA WATOA DAWA (MEDICAL DISPENSERS) KUTWA NA KULALA SIFA ZA MWOMBAJI · Awe amemaliza kidato cha nne na kufaulu masomo matatu na kati ya hayo moja wapo iwe Chemistry au Biology kwa kupata alama (D) na kuendelea. MUDA WA KOZI · Ni mwaka mmoja na fomu za kujiunga zinapatika Chuoni Majohe Rada (Gongo la Mboto), Chuo cha Ualimu Singida na Dodoma Kisiriri Secretarial Service kwa Tsh: 10,000/= tu. · Chuo kinatambuliwa na Baraza la Famasia Tanzania. · Masomo yameanza, 2015 Kwa mawasiliano zaidi: 0713 601763, 0767 929110, 0789044742
tovuti: www.ufaulu.blogspot.com
tovuti: www.ufaulu.blogspot.com


