Siku ya kumbukumbu ya kukumbuka ajali ya MV Bukoba tareehe 21/05/2016
katika jijini la mawe Mwanza (Rocky City) kutakuwa na burudani kabambe
sana itakayo wakutanisha wasanii wengi wa ndani na nje ya Tanzania kama
Neyo, Diamond, Batarokota na wasanii wengine kibao katika show
inayotambulika kama Jembeka Festival 2016 chini ya udhamini wa JEMBEKA
na VODACOM show ihi iliyopangwa kufanyika katika uwanja wa CCM Kirumba
Mwanza.